Click to Watch in HD > SHILAWADU Wamemnasa Mama Diamond akiwa Hospitali kumwona mtoto wa Hamisa Mobeto

Watch SHILAWADU Wamemnasa Mama Diamond akiwa Hospitali kumwona mtoto wa Hamisa Mobeto. Shilawadu imekuja na Ubuyu Exclusive Ijumaa ya jana kuhusu mtoto wa mrembo Hamisa Mobeto. Tangu mimba ya Mrembo huyo ianze kuonekana imekuwa ikihisiwa kuwa ni mimba ya Diamond Platinumz lakini hakuna aliwahi kuthibitisha Ubuyu huo kuwa ni wa kweli. Kwenye U-Heard ya Clouds Mama Diamond alisikika kupindisha pindisha kama mtoto huyo ni Mjukuu wake au vinginevyo. Haya hivyo #SHILAWADU wakaamua kunyapia mpaka hospitali ambapo Hamisa Mobeto alijifungulia mtoto huyo na Kunasa wana familia kadhaa wa Familia ya Diamond wakienda kumuona mtoto huyo ambaye anaaminika kuwa ni Mtoto wa Diamond Platinumz kwa mrembo Hamisa Mobeto. Subscribe Our Channel: https://goo.gl/pnWPWT. Follow and Like Us On Facebook: https://goo.gl/GU6zXr.

Youtube Channel / BongoStars
Loading