Click to Watch in HD > Ugonjwa gani unamsumbua Mrema? Ameweka wazi hali afya yake

Watch Mhe. Augustino Lyatonga Mrema ambaye ni Mwenyekiti wa bodi ya Parole ameweka wazi hali ya afya yake baada ya kuumwa kwa mda mrefu na kwenda kutafuta matibabu nchini India. Mrema aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Parole tangu tarehe 16 Julai, 2016. Mhe. Augustino Lyatonga Mrema alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo baada ya mda wake kumalizika kuushika wadhifa huo. Subscribe Our Channel: https://goo.gl/pnWPWT. Follow and Like Us On Facebook: https://goo.gl/GU6zXr.

Youtube Channel / BongoStars
Loading